Kirusi Kipya cha Covid-19: Israeli kuweka marufuku kwa wageni wote kuingia nchini humo
Israel itapiga marufuku wageni kuingia nchini kwa siku 14 na kufanya ufuatiliaji ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya virusi vya Covid, vyombo vya habari vya ndani vimeeleza.