Wednesday, August 4, 2021

Rais Mwinyi amekutana na Waziri wa Maliasili wa Jamhuri ya Muungano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Damas Ndumbaro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.


 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...