Sunday, July 25, 2021

Penzi la mwanadada Eudoxie Yao na Grand P limevunjika


Penzi la mwanadada Eudoxie Yao na Grand P limevunjika

Eudoxie ametangaza kuwa wameshindwana, huku sababu ikidaiwa ni tabia ya Grand P kupenda kuchepuka na kinadada wengine hali ambayo imekuwa ikimnyima raha Eudoxie na sasa kuamua kuachia ngazi kwa jamaa huyo

Eudoxie ni mtu maarufu nchini Ivory Coast wakati Grand P ni mwanamuziki wa Guinea.

#jicholauswazi  

Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...