Tuesday, July 20, 2021

Mamilioni ya Wateja Waacha Kufanya Miamala Kwenye Simu



Mara baada ya Serikali kuanza kukusanya Tozo ya Miamala, mamilioni ya Wateja wameachana na Miamala ya Mtandaoni suala ambalo limethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Hisham Hendi

Hisham amesema Wateja wengi walioamua kuacha kufanya miamala kwenye simu ni wa Vijijini ambapo wamefanya hivyo mara baada ya tozo kuanza

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...