Tuesday, July 20, 2021

Babu Tale "Siwezi Kumuoa Flavian Matata Acheni Kunipangia"



Manager wa Msanii diamondplatnumz na Mbunge Wa Morogoro Vijijini (@babutale) Amefunguka Kuumizwa Na Comments Za Baadhi Ya Watu Kutaka Amuoe Mwanamitindo (@flavianamatata) Na Kusema Kuwa #FLAV Ni Rafiki Yake Na Mtu Ambaye Anamsaidia Sana Hata Jimboni Kwake Na Kuendelea Kusema Kuwa Inamuumiza Kuona Watu Hawataki Kuamini Kuwa Mwanaume Na Mwanamke Wanaweza Kuwa Marafiki.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...