Sunday, July 18, 2021

Aliyeua na Kujiua Kwa Risasi Keki ya Birthday yake Ilikuwa na Picha ya Bastola


Kijana Alex maarufu Simba aliyemuua kwa kumpiga risasi Kijana aliyefahamika kwa jina la Gift na kisha na yeye kujipiga risasi ya kichwa hadi kufa wakiwa kwenye Baa ya Lemax Sinza Dar es salaam, imebainika kuwa alisherehekea siku yake ya kuzaliwa tarehe 23 June mwaka huu 2021 huku moja ya keki iliyokatwa kwenye sherehe hiyo ilikuwa na picha ya Bastola (huenda aliipenda sana)


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...