Thursday, June 10, 2021

VIDEO: Wananume wana hali ngumu sana wananyanyasika, panahitajika dawati la wanaume-Ndugai


"Kwa kweli panahitajika dawati la wanaume mahali, kweli kabisa tukienda na mwendo huu, tukadhania wanaume wako okey..!.wanaume wanahali ngumu sana ila wamelelewa katika msingi ambao hawasemi wanagumia tu, mmmh..! mmmh..!.,tuangalie wapo wanaonyanyasika".

Spika Job Ndugai amesema haya bungeni katika mjadala ulioibua hisia miongoni mwa wabunge siku mbili tu baada ya Rais Samia Suluhu kukutana na wanawake jijini Dodoma

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...