Xylvester Mwakitalu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)
Rais wa Tanzania mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Sylvester Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),akichukua nafasi iliyoachwa na Biswalo Mganga ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.