Friday, April 9, 2021

Stamina Awafungukia Wanafki Kwenye Maisha Yake





MKALIwa Hip Hop Bongo, Bonaventure Kabogo 'Stamina' amesema yeyote anayeleta unafiki kwenye maisha yake huwa ana mblock.

 

Akizungumza na AMANI hivi karibuni, Stamina alisema kati ya watu ambao huwa hana mpango nao ni watu wenye hulka ya kung'ata na kupuliza (wanafki).

 

"Kwenye maisha yangu ukiniletea unafki mimi nakutia block tu, kwa sababu sina mchongo na mtu mnafki kabisa, huwa naelewana na watu ambao wanajielewa,"alisema Stamina.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...