Shangwe, kuzomea, ngoma, vuvuzela na makofi, zimetawala ndani na nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Simba imeitandika Al Ahly ya Misri bao 1- 0.
Shangwe hilo linatokana na timu hiyo kuibuka mshindi kwa kufunga bao 1-0 kipindi cha kwanza, lililofungwa na Miquissone.