Wizara ya Elimu, Sayansi na teknorojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI imeandaa mpango kabambe wa kubainisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu nchi nzima kwa lengo la kuhakikisha wanaadikishwa shuleni mwaka 2021 hii ikiwa imekuja baada ya serikali kubaini kuwa baadhi ya wazazi wamekuwa hawawapeleki shuleni watoto wenye mahitaji maalumu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE