Saturday, January 23, 2021

VIDEO: Kama umeibiwa gari njoo uchukue, RPC Njombe awaita

Watuhumiwa 5 wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa magari 6 yaliyopatikana mikoa tofauti yanayosadikika yametokana na ujambazi.Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa afunguka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...