Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Nchini humo (EC), Simon Byabakama, amesema uwepo wa Vikosi ya Ulinzi katika Vituo vya Upigaji Kura ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna vurugu
Taifa hilo linafanya Uchaguzi Mkuu leo ambapo kwa mujibu wa takwimu za EC, Wananchi wapatao Milioni 18 wamejiandikisha Kupiga Kura katika Vituo 34,684 ambapo zoezi limeanza saa 1 asubuhi na litafungwa saa 10 jioni
Matokeo ya Uchaguzi yanatarajiwa kutangazwa ndani ya saa 48 baada ya zoezi la Upigaji Kura kufungwa