Thursday, January 14, 2021

Museven "Nikishindwa Nitakubali Matokeo Uganda Sio Nyumbani Kwangu"

 


Wananchi Nchini humo wanatarajiwa kupiga kura kuchagua Rais na Wabunge leo Januari 14, 2020

Miongoni mwa Wagombea wa Urais ni Yoweri Museveni, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine), John Katumba, Willy Mayambala, Fred Mwesigye, Henry Tumukunde, Joseph Kabuleta, Nancy Kalembe, Patrick Oboi Amuriat, Mugisha Muntu na Norbert Mao


Museveni ambaye amekuwa madarakani tangu 1986 anawania muhula mwingine. Akizungumza na CNN, amesema atakubali matokeo ya Uchaguzi akisisitiza #Uganda sio nyumba yake, hivyo akishindwa atarejea kwake kufanya masuala mengine binafsi kwa furaha


Kwa upande wake, Bobi Wine ambaye ametajwa kuwa Mpinzani mkubwa wa Museveni amesema atakubali matokeo ya Uchaguzi ambao ni Huru na wa Haki



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...