Watoto wanahitaji usingizi kwa ajili ya kusaidia ukuaji wao, kimwili na kiakili. Watoto kuanzia wiki moja hadi miaka 16, wanahitaji muda wa kupumzika.
Mtoto wa wiki moja (1)
Mchana: masaa 8
Usiku: masaa 8 na dakika 30
Mtoto wa wiki nne (4)
Mchana: masaa 6 mpaka masaa 7
Usiku: masaa 8 mpaka masaa 9
Miezi mitatu ( 3 )
Mchana: masaa 4 mpaka masaa matano (5 )
Usiku: masaa kumi (10) mpaka masaa kumi na moja (11)
Mtoto wa miezi sita (6)
Mchana : mchana masaa matatu (3)
Usiku : masaa kumi na moja (11)
Miezi tisa (9)
Mchana: masaa mawili na nusu
Usiku : masaa kumi na moja
Mtoto wa miezi kumi na mbili (mwaka mmoja)
Mchana: masaa mawili na nusu
Usiku : masaa kumi na moja
Miaka miwili
Mchana: saa moja na nusu
Usiku : masaa kumi na moja na nusu
Miaka mitatu (3)
Mchana: dakika 45
Usiku : masaa kumi na moja mpaka masaa kumi na mbili.
Miaka minne (4)
Usiku : masaa kumi na moja na nusu.
Miaka mitano (5)
Usiku: masaa kumi na moja
Miaka sita (6)
Usiku: Masaa kumi na dakika arobaini.
Miaka 7
Usiku : Masaa kumi na nusu.
Miaka 8
Usiku : Masaa kumi na dakika kumi na tano.
Miaka 9
Usiku : Masaa kumi (10)
Miaka 10
Usiku: Masaa tisa na dakika arobaini na tano.
Miaka 11
Usiku : Masaa tisa na nusu.
Miaka 12
Usiku : masaa tisa na dakika kumi na tano.
Miaka 13
Usiku: Masaa tisa na dakika kumi na tano.
Miaka 14
Usiku: Masaa tisa (9)
Miaka 15
Usiku : Masaa tisa (9)
Miaka 16
Usiku: Masaa tisa (9)
Source