Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa CCM katika kikao chake leo Dodoma ikiongozwa na Dkt. Magufuli, Rais wa Tanzania na Mwenyekiti CCM Taifa, imeridhishwa na maandalizi ya uchaguzi mkuu na kuelekeza kutolewa kwa ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wanaoomba dhamana ya uongozi katika vyombo vya Dola.
"Kamati Kuu imepokea taarifa ya maendeleo ya uandishi wa mweleko wa Sera za CCM kwa mwaka 2020-2030 na kujiridhisha kuwa kazi nzuri imefanyika mpaka ngazi ya rasimu ya pili, imepitia kwa mara ya pili taarifa ya uandishi wa Ilani ya CCM katika uchaguzi mkuu wa 2020"-POLEPOLE
"Kamati Kuu imepokea taarifa ya Serikali juu ya mapambano ya dhidi ya corona na hatua ambazo zimechukuliwa kuukabili ugonjwa huo kwa mafanikio Tanzania, na kwa kauli moja kikao kimempongeza Rais Magufuli kwa msimamo thabiti usioyumba katika kipindi chote cha corona"-POLEPOLE
Source
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wim...
