Wakati Tanzania imetangaza kufungua Viwanja vya Ndege na kukaribisha Watalii pia, Nchi ya Ugiriki ambayo ipo kusini Mashariki mwa Ulaya imesema kuanzia June 15 2020 itaruhusu Watalii kuingia Nchini humo.
Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis amesema kwa sasa Watalii wataoruhusiwa ni wale tu wanaotoka Nchi zenye maambukizi madogo ya ugonjwa wa COVID19 unaotokana na virusi vya corona.
Mitsotakis pia amesema Ndege nyingi zitaanza kuruhusiwa kuingia kwenye Nchi hiyo July 1 2020, ikumbukwe mpaka sasa Ugiriki ni miongoni mwa Mataifa ya Ulaya yenye idadi ndogo ya vifo vilivyotokana na corona ambapo ni vifo 170 na Wagonjwa 3000 wa corona.
"Tutashinda vita ya kiuchumi kama tulivyoshinda vita dhidi ya afya zetu, Watalii wataruhusiwa kuingia Nchini kwetu bila kupimwa corona na bila kuwekwa karantini lakini Wataalamu wa Afya watasimamia tahadhari zote na kwenye sehemu maarufu za Utalii vikosi vya Wataalamu wa Afya pia vitaongezwa.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...