
Simba wanatupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kipigo cha jumla ya mabao 4-1 kutoka kwa TP Mazembe.
FT: TP Mazembe 4-1 Simba SC (Agg: 4-1).
Wafungaji Magoli
Emmanuel Okwi dk ya 2 Simba SC
Chongo dk ya 23 TP Mazembe
Elia Meshack dk ya 38 TP Mazembe
Tresor Mputu dk ya 62 Mazembe
Jackson Muleka dk ya 75 Mazembe