Sunday, November 18, 2018

Shabiki Amtaja Zari kama Mwanamapinduzi wa Fashion Tanzania.


Kila mtu anaweza kuongea ake kulingana na msiamamo wake na kile anachokiamini hasa inapokuja kwenye swala la kuwa shabiki wa kitu flani.

Moja ya shabiki wa Zari the Bossy amemsifia mwanamama huyo kuwa ndie aliekuwa kuiokoa fashio ya tanzania na kwamba wadada wengi a tanzania walikuwa hawajui kuvaa zaidi ya kujivalia kila kitu lakini tagu amekujwa mwanamama huyo kutoka uganda alipotambulishwa na diamond tanzania amekuwa msaada kwa wanawake wengine.

Shabiki huyo pia anasema kuwa wanawake wengi wa tanznia walikuwa hawataki kufanya kazi zaidi ya kudanga (kujiuza ) ili kupata pesa lakii zari amewasaidia wanawake hawa kupata akili ya kufnya kazi zao ili kujipatia pesa.

Mwanadada huyo ameonekana kuwatolea povu sana wanawake  wa tanzania kuwa pamoja na kwamba kwa sasa wanamchukia mama huyo lakini ukwlei utabaki kuwa aliwasaidia sana kubadlisha mionekna na mitazamo yao ya maisha hasa kwa wanawake wanajiita matajiri katika mitandao ilhali hakuna kitu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...