Saturday, November 17, 2018

Jibu la Dogo Janja Kuhusu Sababu ya Kumsaliti Irene Lina Utata.

Msanii Dogo Janja amejikuta akimjibu kwa kumtolea povu moja ya mashabiki zake walimuuliza kwa nii aliamua kumsaliti mke wake wa ndoa irene uwoya na kwenda kutembea na mwanamke mwingie. Ikumbukwe kuwa siku za hapo karibuni kulizuka tetesi za msanii Dogo Janja kutoka kimapenzi na mwana dada wema sepet na kusababisha ndoa yao kuvunjika, ndoa ambayo ilikuwa aikizungumziwa sana midomoni mwa watu katika mitandao ya kijamii. Moja ya mashabiki zake walimuuliza  sababu kubwa ya  kumsaliti mke wake ilikuwa ni nini lakini kitu cha ajabu dogo janja alijibu jibu ambalo kama vule kosa hilo alikuwa amesingiziwa hakuna na hatia yoyote Shabiki aliuliza, Dogo janja why didi you cheat on your wife,  Dogo janja nae aliwajibu kwa kusema ‘”stress ya ukweli ni pale unapokutana na mama wa demu wako alafu anakwambia wewe ndio uwaga kila siku unakuja na gari usiku kumchukua  mwanangu , wakati wewe hata mkokoteni tu hauna.”    

The post Jibu la Dogo Janja Kuhusu Sababu ya Kumsaliti Irene Lina Utata. appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...