Mabadiliko ya Tabia nchi duniani yanatanjwa kuwa tatizo sugu linalozikumba nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania nakuleta athari sektambalimbali ikiwemo ya wanyamapori. Akizungumza na waandishi wa habari wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani katika wa mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (JET) kwa ufadhiliwa wa Shirika la Misaada la Marakeni (USAID Protect), Mtaalamu wa […]
Source