Monday, October 22, 2018

Umoja wa Mataifa wataka Saudi Arabia iwajibishwe Kwa kukubali mwandishi Khashoggi aliuawa ndani ya Ubalozi wao

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, mashirika ya kutetea haki za binadamu na vyama vya waandishi wa habari vimetaka waliohusika na mauaji ya mwandishi habari Jamal Khashoggi nchini Uturuki waadhibiwe. Guterres amesema amepata wasiwasi mkubwabaada ya Saudi Arabia kukiri kuwa Khashoggi alifikwa na umauti kwenye ubalozi wake mdogo. katibu mkuu wa Umoja wa mataifa  ameongeza …

The post Umoja wa Mataifa wataka Saudi Arabia iwajibishwe Kwa kukubali mwandishi Khashoggi aliuawa ndani ya Ubalozi wao appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...