Mpigapicha maarufu wa msanii Diamond platinumz anaejulikana kama Lukamba amfunguka na kukanusha tetesi za kuwa baada ya makabidhiano ya gari hilo amekuwa akikatwa katika malipo yake ya kazini kulipizaia gar hilo. Lukamba anasema kuwa sio kweli kuwa anakatwa pesa yoyote kama watu ambavyo wamekuwa wakisema ktaika katika mitandao ya kijamii kwa sababu hiyo ilikuwa i zawadi aliopewa na bosi wake. Mara nyingi kumekuwa na tetesi hzio za kuwa kila anaepewa gari na msannii diamond kuna kiais huwa wanakwatwa katika mishagara yao ili kulipa zawadi hizo kitu mabacho kimekuwa kikisemwa siku nyingi lakini wasaii wa WCB wamekuwa wakikanusha taarifa hizo. Lukamba alikabithiwa gari aina ya alteza siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Diamond platinumz ikiwa kama zawadi ya ufanyaji kazi mzuri na kujituma katika lebo hiyo.
The post Alichosema Lukamba Kuhusu Zawadi Aliyopewa na Diamond. appeared first on Ghafla!Tanzania.
Source