Aliyewahi kuwa msanii wa maigizo wa kundi la Sanaa la Kaole, Ramadhani Mrisho Ditopile maarufu kama ‘Mashaka’ amefariki dunia katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam leo asubuhi Jumamosi, Oktoba 20, 2018. Abdallah Ditopile ambaye ni mtoto wa marehemu amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema baba yake aliugua ghafla usiku ndipo wakamkimbiza hospitali kwa …
The post TANZIA: Muigizaji mkongwe wa kundi la Kaole, Ramadhani Mrisho maarufu kama Mashaka afariki dunia appeared first on Bongo5.com.
Source