Saturday, October 20, 2018

Mourinho amkaribisha Eden Hazard ndani ya United ‘Historia inaonyesha akiwa kwenye kiwango chake Chelsea inakuwa mabingwa 

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa anatamani kumsajili mshambuliaji, Eden Hazard anayekipiga ndani ya Chelsea kwakuwa licha ya kumpenda kwake lakini pia anauwezo wa hali ya juu katika mbio za kuwania ubingwa. Kwa upande wake Hazard alipokuwa kwenye majukumu ya timu yake ya taifa ya Ubelgiji amewahi kumzungumzia Mourinho ambaye alikuwa naye ndani …

The post Mourinho amkaribisha Eden Hazard ndani ya United ‘Historia inaonyesha akiwa kwenye kiwango chake Chelsea inakuwa mabingwa  appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...