Wednesday, August 8, 2018

USAJILI: Shaaban Iddi Chilunda atambulishwa rasmi Hispania

Mshambuliaji chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Shaaban Iddi Chilunda ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya CD Tenerife kutoka nchini Hispania. Chilunda ambaye alikuwa akiitumikia Azam FC amesajiliwa na klabu hiyo ya CD Tenerife inayoshiriki Segunda Division (ligi daraja la kwanza) kwa mkataba wa miaka miwili. Kinda huyo aliyezaliwa Julai 20 mwaka 1998 anakumbukwa zaidi baada …

The post USAJILI: Shaaban Iddi Chilunda atambulishwa rasmi Hispania appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...