Thursday, April 3, 2025

Wydad AC Wanamuhitaji Aziz K Kuongeza Nguvu Kombe la Dunia la Vilabu



Miamba ya soka nchini Morocco Wydad AC imepanga kumuongeza kiungo mshambuliaji wa Yangasc Stephan Aziz Ki hili kuongeza nguvu kuelekea kwenye michuano mikubwa zaidi kwa ngazi ya vilabu ulimwengu (FIFA CLUB WORLD CUP)
‎Michuano hiyo ambayo inatarajiwa kutimua vumbi mwezi july 2025 nchini Marekani ambayo itajumuisha karibia vilabu vyote vikubwa ulimwengu kote timu kama Manchester city,PSG,Real Madrid NK
‎Hivyo Wydad AC wamepanga kuongeza nguvu kuendana na uzito wa michuano hiyo
‎Ikumbukwe kuwa hata hivyo Yangasc waliweka wazi mwisho wa msimu huu wamepanga kufanya biashara kubwa ya kuwauza baadhi ya wachezaji wake muhimu akiwemo Aziz Ki pamoja na Mzize Clement.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...