Saturday, August 7, 2021

KARIA ANG'ARA TENA TFF...WAJUMBE WAMPA MINNE MINGINE


Rais wa TFF, Wallece Karia

Wajumbe wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), leo Jumamosi, wamemthibitisha Wallece Karia kuendelea kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa kura zote 80 sawa na asilimia 100.

Wallece Karia alikuwa ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...