Watanzania wemeaswa kuwekeza katika uchumi wa viwanda ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na masoko wa taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) Dk. Sigisbert Mmasi amesema kupitia taasisi hiyo ipo kwa ajili ya kuendeleza na kuwekeza viwanda ambapo Watanzania wataweza kupata ushauri wa mashine bora ambazo zitawasaidi katika kuwekeza katika viwanda.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Source