Wednesday, July 14, 2021

Staa wa Muziki Barani Afrika Diamond Platnumz Awakata Watu Mdomo Baada ya Kuingiza Gari Aina ya Rolls Royce


Staa wa Muziki Barani Afrika na CEO wa #WasafiMedia, SIMBA @diamondplatnumz ameamua kuvuta Ndinga ya ndoto yake Rolls Royce Cullinan SUV ya Mwaka 2021

Gari hiyo yenye thamani zaidi ya Dola Za Kimarekani 650,000 (Tsh . Bilioni 1.5 kabla ya Ushuru ) , imepokelewa Leo Kutoka Bandarini na Staa huyo baada ya kuiagiza tangu Mwezi uliopita .

Diamond alishawahi kuweka wazi muda mrefu kuwa Gari ya ndoto zake ni @rollsroycecars , hivyo sasa anaweza kulala usingizi Mnono kwasababu ametimiza moja ya ndoto zake .

Hii inakua Gari ya 3 ya kifahari kwa @diamondplatnumz kununua ndani ya Kipindi cha Miezi Miwili baada ya Kuvuta Cadillac Escalades mbili Wiki kadhaa zilizopita !

Big Congratulations kwa SIMBA !
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...