Thursday, June 3, 2021

Zuchu na Pro. Jay kutikisa jukwaa moja

 
Kampuni ya simu Infinix kuzindua Infinix simu ya kwanza yenye sifa kuu ya G95 processor NOTE 10 pro. Infinix NOTE 10 pro kuzinduliwa kesho 4/6/2021 majira ya saa 12 jioni Mlimani City. Uzinduzi wa Infinix NOTE pro kupewa heshima ya namna yake kwa kuhudhuriwa na Mh. Joseph Haule na wageni wengine kutoka makupuni ya mawasiliano Tigo na Vodacom Plc. 
 

Infinix NOTE 10 pro ni simu ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa muda mrefu sana mitandaoni na shahuku la wengi ni kutaka kuexperience ubora wa kamera 4 za nyuma zinavyochukua picha kwa pamoja zikiongwozwa na kamera kuu ya MP64.

Uzinduzi wa Infinix NOTE 10 pro kushereheshwa na msanii wa kike maarufu kutoka lebo ya WCB almaarufu Zuchu na wakali wa dance kutoka Jsquare. Vilevile uzinduzi huu kuhudhuriwa na wasanii maarafu kutoka kwenye industry ya music Hemed Suleiman, Billnas, Meena Ally, Mimi Mars, Fridah Amani, Moses Iyobo na Alliaah wa WCB.
 

Uzinduzi utaanza kwa kutoa historia fupi ya kampuni tangu kuanzishwa kwake nchini inchini Hong Kong na hadi ilivyoingia rasmi Tanzania mwaka 2018 na nini malengo ya Infinix kwa wananchi wa Tanzania kwa miaka ijayo.

Infinix imeonyesha kuwajali wateja wake na mashabiki zake kwa kutoa mialiko kwa washiriki wa Infinix Star Alliance #10ya10search, wateja waliotanguliza kiasi cha Tsh.50,000 ya kupre-order NOTE 10 na NOTE 10 pro kwa punguzo la 10% https://www.instagram.com/p/CPlJbuwn3Ga/ .
Kushuhudia uzinduzi huu wa kihistoria ungana @infinixmobiletz.
Tembelea https://www.infinixmobility.com/ au piga nambari ya simu 0744606222.



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...