Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema mfumo wa ulipaji Kodi ya Majengo kwa kutumia Mita za LUKU hautawahusu wapangaji, bali ni wamiliki wa nyumba husika
Akielezea suala hilo ametolea mfano mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela yake
Amesema mambo mengine yote yatakuwa 'Programmed' vizuri ili kuepusha watu kupanga foleni ya kwenda kulipa Kodi ya Pango