Friday, June 18, 2021

Nape: Serikali iweke ukomo wa mtu kukaimu nafasi


 Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema tatizo la watu Kukaimu Nafasi kwa muda mrefu limekuwa kubwa, na kuhoji kama Serikali haioni haja ya kutunga Sheria ili iwe kosa kumkaimisha mtu kwa muda mrefu

Amesema, "Tutunge #Sheria ifikie ukomo kwa mwisho wa Kukaimu ni hapa. Mtu akipitiliza tuchukue hatua ili tuondokane na hili. Mtu anakaimu miaka 9 na hakuna mtu anachukuliwa hatua"

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...