Wednesday, May 12, 2021

“Wekeni Password kwenye simu zenu, lazima”- TCRA

 


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kwa mujibu wa Sheria kila mtu anatakiwa kuweka nywila "Password" katika simu na vitu vingine vinavyohusisha mfumo huo.

Hayo yamebainishwa na Dr.Philip Filikunjombe ambaye ni Msimamizi wa Kitengo cha Usimamiaji na Utekelezaji cha (TCRA) ambapo pia amewataka wananchi wakiwemo Waandishi wa Habari za Kimitandao ya Kijamii kuzingatia Misingi ya Sheria.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...