Holy Quran Award inawakaribisha wakazi wa Dodoma na viunga vyake kushuhudia mashinda ya Quran tukufu kwa juzuu 30.
Ambayo yanasimamiwa na kuandaliwa na shekh othman ally kaporo.
Karibu nyote katika uwanja wa jamuhuri Stadium Dodoma tarehe 24-04-2021 kuanzia saa mbili asubuh. Quran ni "DIRA"
