Thursday, April 8, 2021

Kenya: Watu 279 Waonesha Dalili Mbaya Baada ya Chanjo ya Covid 19, Mmoja Afariki



Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya #COVID19 ya #Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki


Bodi ya Famasia na Sumu (PPB) ya #Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021


Kaimu Mkurugenzi wa PPB, Dkt. Peter Ikamati amesema kifo kinaweza kuwa kimesababishwa na mimba kutoka na sio lazima kiwe kimesababishwa na chanjo


Hadi sasa Wakenya 370,000 wameshapatiwa chanjo


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...