Monday, March 15, 2021

Jennifer Lopez na mchumba wake Alex Rodriguez wamekanusha taarifa za kuwa wameachana

 


Jennifer Lopez na mchumba wake Alex Rodriguez wamekanusha taarifa za kuwa wameachana, kama zilivyotolewa na mitandao mikubwa nchini Marekani Jana Jumamosi.


Kwenye taarifa waliyoitoa kwa pamoja kupitia mtandao wa Reuters, wamesema taarifa za kuachana kwao hazina ukweli wowote kwani kuna mambo wanayafanyia kazi, japo hawakusema ni yapi.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...