Friday, November 20, 2020

VIDEO: CCM yatangaza majina yaliyopitishwa kugombea Umeya wa majiji na manispaa


CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya madiwani walioomba kuwania Umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri katika maeneo mbalimbali ambayo waliomba kugombea. Majina hayo yametangazwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Novemba 20, 2020, katika Ofisi ndogo za CCM Taifa, Lumumba jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...