Wednesday, November 18, 2020

Mavunde, Ditopile watinga kuiunga mkono Timu ya Kikapu ya Dodoma


Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini CCM na Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma CCM, Mariam Ditopile wamefika katika viwanja vya Chinangali kushuhudia mashindano ya Mpira wa Kikapu ya Taifa ambapo Timu ya Mkoa wa Dodoma ilikua ikipambana na Timu ya Mkoa wa Songwe. Wabunge hao wameahidi kuendelea kutoa sapoti kwa wanamichezo wote wa Dodoma.
 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...