Monday, November 16, 2020

Kassim Majaliwa kuapishwa leo kuwa waziri mkuu


Hafla ya kuapishwa kwake itafanyika Ikulu ya Chamwino-Dodoma baada ya Rais Magufuli kumteua na Bunge kumthibitisha mwishoni mwa wiki jana

Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa Muhula wa Pili kama Waziri Mkuu wa Tanzania.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...