Friday, October 16, 2020
ZEC yamfungia Maalim Seif kufanya kampeni kwa siku 5.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemsimamisha mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kutofanya mikutano ya kampeni za Urais kwa siku 5 baada ya kuonekana na kosa la uvunjifu wa maadili.
Akitangaza maamuzi ya Kamati ya maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Katibu wa Kamati hiyo ya Maadili Khamis Issa Khamis amesema tume ilipokea malalmiko kutoka kwa mgombea wa Urais wa chama cha Demokrasia Makini Ameir Hassan Ameir dhidi ya mgombea Maalim Seif ya kuhamasisha wananchama wake wakapige kura siku ya kura ya awali.
Katibu wa kamati amesema kamati ilisikiliza hoja zote na kuona kuwa mgombea Maalim Seif ametenda kosa hilo na kumpa adhabu kwa mujibu wa sheria kifungu cha 23 D za kanuni za maadili.
Kamati hiyo ya maadili imetoa fursa kwa Maliam Seif kukata rufaa endapo haajridhika na mammzui hayo
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
