Tuesday, October 13, 2020

Soko la Mabibo Maarufu kama 'Mahakama ya Ndizi' litakuwa chini ya wananchi- JPM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema Soko la Mabibo Maarufu kama 'Mahakama ya Ndizi' litakuwa chini ya wananchi

Ameyasema hayo leo katika mkutano wa Kampeni eneo la Mburahati, ambapo amewaomba kura wananchi ili kupata ridhaa ya kuiongoza Tanzania kwa muhula wa pili

Dkt. Magufuli ametoa uamuzi huo baada ya mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia CCM, Prof. Kitila Mkumbo kusema kuwa, soko hilo lilikuwa na changamoto ya kutokuwa rasmi


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...