Thursday, October 8, 2020

Rais Magufuli akagua ujenzi wa barabara za juu Ubungo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe


Mama Janeth Magufuli amekagua kazi za ujenzi wa barabara za Juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Flyover) jijini Dar es Salaam wakati akielekea Mbezi Louis kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Kimataifa cha Mabasi ya Mikoani leo October 8, 2020.



  

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...