Karibia Tuna Kula Pilau..Unaambiwa NDOA ya Lulu na Majizzo Yatangazwa
Hatimaye Ndoa Ya Elizabeth Michael na Francis Ciza (Majizzo) imetangazwa jana Kanisa Katoliki la Mtakatifu Andrea Bahari Beach, Mnaosali Kanisa hilo Mtakuwa Mmesikia😊
Mungu Awaongoze Waifikie Siku Yao bila Kipingamizi