Wednesday, October 21, 2020

CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

 


Chuo cha MTAKATIFU JOSEPH SHINYANGA ni taasisi iliyosajiliwa na serikali kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE) kwa namba ya usajili REG/BTP/076P na mamlaka ya elimu ya ufundi stadi VETA


Chuo kinatoa mafunzo katika ngazi ya Cheti (Certificate) na stashahada (DIPLOMA) katika kozi za BIASHARA na UONGOZI 


Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha NNE mwaka wowote Chuo kipo shinyanga mjini na muhula wa masomo utaanza tarehe 15/11/2020


JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO

1.DOWNLOAD FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA.


2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION)


Kwa masiliana zaidi piga namba zifuatazo 0717583713 / 0788815842 / 0769982572 au tembelea TOVUTI YETU  www.stjcs.ac.tz


Wahi sasa nafasi zimebaki chache na muhula wa masomo umekaribia kuanza.











Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...