Wednesday, April 8, 2020
FIFA: Mikataba ya wachezaji irefushwe, kuruhusu kuhamishwa usajili wa wachezaji
Shirikisho la kandanda duniani FIFA limependekeza kurefushwa kwa mikataba ya wachezaji ambayo ilipaswa kukamilika mwezi Juni na kusema kuwa litaruhusu madirisha ya usajili wa wachezaji kuhamishwa ili kuruhusu kurefushwa kwa msimu wa sasa wa kandanda la Ulaya kutokana na janga la COVID-19.
FIFA pia imesema kuwa itavihimiza vilabu na wachezaji "kushauriana ili kufikia makubaliano na suluhisho wakati wa kipindi ambacho mashindano yamesitishwa na kuwa mchezo wa kandanda unapaswa kukabiliana na hasara isiyo ya kawaida ya mapato.
Virusi vya corona vimesitisha shughuli za kandanda kote duniani, huku ligi za kitaifa zikisitishwa kwa muda na mashindano makuu kama vile Euro 2020 na Copa Amerika, yakiahirishwa hadi mwaka ujao.
Shirikisho la Kandanda Ulaya - UEFA limesema linataka msimu wa 2019-2020 ukamilishwe uwanjani, hata kama ina maana kuurefusha hadi Agosti.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...