Thursday, April 23, 2020
CCM yatoa vifaa kupambana na corona
Na Muhadh Mohammed.
Chama cha mapinduzi mkoa wa wa Ruvuma kimetoa vifaa mbali mbali na kukabidhi kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi Christina Mndeme kwa ajiri yua kupambana na ugonjwa wa covid 19 unao sababishwa na virusi vya corona.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa na mwenye kiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Ruvuma Bw.Oddo Mwisho amesema vifaa hivyo ni Thermal scanner tatu vitakasa mikono ishirini ndoo za maji na sabuni za maji Kumi na nne pamoja na matenki ya maji matano vifaa hvyo virivyo gharimu kiasi cha shilingi milioni tatu.
Kwaniaba ya mkoa mkuu wa mkoa Ruvuma bi.Christina Mndeme amekishukuru chama cha mapinduzi mkoa wa Ruvuma kwa kuendeleza vita dhidi ya ugonjwa wa covd 19 na kuahidi vifaa hivyo kuvisambaza katika maeneo tofauti ikiwemo na maeneo ya mipakani.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...