Thursday, July 4, 2019

Tetesi: MO Dewji atajwa kuondoka Simba SC


Mmoja ya wamiliki wa simba SC na C.E.O wa kampuni ya METL Mohamed Dewij, imeelezwa muda wowote kuanzia hivi sasa anaweza kuachana na klabu hiyo kama muwekezaji.

Taarifa za ndani zimeanza kuenea huku ikidaiwa kwamba hii ni kutokana na kukosekana kwa maelewano katika baadhi ya mambo na viongozi wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...