Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kadiri idadi ya Watanzania inavyoongezeka ndivyo na uchumi nao unakua.
Ameyasema hayo leo wakati akizindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato iliyotokana na kuunganishwa kwa Mapori ya Akiba matatu ambayo ni Burigi, Biharamulo na Kimisi katika Mikoa ya Geita na Kagera.
"Nawaambia zaeni tu,ukishakuwa na idadi kubwa umetengeneza uchumi ndio maana uchumi wa China upo juu kutokana na population,najua nikizungumza hili wale watu ambao wamezoea kubania mayai watalalamika sana, nyinyi yaachieni waacheni wayabanie ya kwao" amesema Rais Magufuli.
Katika hatua nyingine Rais Magufuli amesema, "Idadi ya tembo imeongezeka kutoka 43330 mwaka 2016 hadi kufikia zaidi ya 60000 pia faru wameongezeka kufikia 163 hivyo hatuna budi kumpongeza Faru Rajabu (mtoto wa faru John) ambae ameshazalisha watoto 40 nadhani yule wajina wangu alikuwa hajitumi vizuri".
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...