Ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti Taifa, Freeman Mbowe, uliotolewa na Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Gerard Rich, umedai kwamba aliamuru kikosi cha mabomu ya machozi kurudi nyuma na kile cha silaha za moto. Kadhalika alidai kuwa kitendo cha washtakiwa kukiuka amri yake kupitia redio …
The post “Zilipopigwa risasi hewani, Mbowe alikimbia mpaka miwani ikadondoka” Shahidi afunguka Mahakamani kesi ya viongozi wa CHADEMA appeared first on Bongo5.com.
Source